meba
Member
- May 5, 2012
- 99
- 9
Leo katika chuo kikuu cha st.Augustine kulikuwa na final ya kombe la FAWASCO ambapo nilishangaa watu wote wanashangilia kwa kunyoosha vidole viwili juu muda wote hakuna hata mmoja alienda kinyume wengine badala ya kusema education oyeee...walikuwa wanakosea na kusema CHADEMA oyeee...kweli chd inapendwa sana. Hali kama hii hua naona kule Arusha kweli watu wote wa saut walishudia hali kama hii