Sauti nzuri!!

Hebu toka Unga ltd njoo huku Kwa Nicky Pub....tusherehekee Mapinduzi ya Pweza Zanzibar

Agiza kuku kabisa na samaki wa foil nakuja muda sio mrefu. . . Au tuhamia Ango kama hapo pamejaa!!
 
Sauti kwa kweli inaeza pia kukufanya utengeneze picha kichwani kwako kama ni ya mtu ambaye hujawahi kumuona....kwamba yukoje anafananaje anaendana na sauti yake au ndo kama hivo tena

Ni kweli sauti kuna sauti ambazo zinavutia sana mpaka inakukufanya utamani kumwona mhusika, kwa namna unavyokuwa umejenga taswira.
Kwa wale wanaokumbuka jarida la Sani na harakati za Pimbi alivyokuwa anadatishwa na sauti anapanga miadi halafu akija kumwangalia demu kumbe sio kabisa!!
 
Sauti kwa kweli inaeza pia kukufanya utengeneze picha kichwani kwako kama ni ya mtu ambaye hujawahi kumuona....kwamba yukoje anafananaje anaendana na sauti yake au ndo kama hivo tena

Hiyo twaipa 50% kwa 50%.Kuna wengine wanasauti nzuri,mpaka una imagine kumuona yukoje,kumbe unavyofikiria ni virse versa,unakuta mtu wa kawaida kabisa.

wengine,the way ulivyoimagine sauti yake anakuwa hivyo hivyo.
 
Kwasababu tu sura, sauti,umbo ni vivutio haina maana kila mtu anavyo vinavyovutia wengine. Kuna wadada wana sauti nzito mpaka wanaume wengine hawawataki, kuna wakaka wana sauti na sura laini kiasi kwamba hata mi siwataki.

Lizzy ! Katika wiki nzima tangu ianze hapa umeongea point ya mie kukupa Trophy! Ni point itakayo'cover hadi wiki hii tuimalize.
 
Lizzy ! Katika wiki nzima tangu ianze hapa umeongea point ya mie kukupa Trophy! Ni point itakayo'cover hadi wiki hii tuimalize.

Heheheheh usikute umefurahi kwasababu nimesema sipendi wanaume wenye sura laini. . . .
 
Nna hamu na usongo kuisikia sauti ya Kongosho! Sijui itakua mwororo na laini ? Au m'besi niko tayari hata kuilipia!

Anafanya kazi kama kastama kea wa Voda. . . piga unaweza ukabahatisha kujibiwa nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…