Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
ahahahahMkuu yupo humu ila tatizo ww huwataki wadada wa jf tena Ni single Mama
Kituo kinachofata ufanyweje?!? Wakufir@#$@##?!??!Igweeeeeee
kiukweli hii sauti ishanikosha sana, ni dada gani huyu mwenye sauti tamu namna hii ambayo huweza kumtoa nyoka pangoni kwa asilimia kubwa ya wakwale wa jiji hasa tunapokua ndani ya basi
"kituo kinachofuata ni fiiiiire"
popote ulipo ewe dada wa kutaja vituo ndani ya mwendokasi naomba upokee ujumbe huu au nipm kama upo humu. au kama kuna member humu anamfahamu anipe tarifa zake nimpate wapi
Mkuu hicho ni kituo kinaitwa Fire (faya)[emoji3][emoji3][emoji3]Kituo kinachofata ufanyweje?!? Wakufir@#$@##?!??!
Aisee Dar wanaume hakuna
AiseeMkuu hicho ni kituo kinaitwa Fire (faya)[emoji3][emoji3][emoji3]
ANAPATIKANA MITAA YA NYEGEZI MWANZATunamaliza siku kama hivo