Sauti ya Diamond kwenye wimbo wa Dully Sykes feat Harmonize - INDE

Mkuu mbona unachanganya mafile..Embu weka maelezo yako kwenye 3D ueleweka..Diamond anahusika vipi kwenye ngoma ya Inde?
Anamaanisha kuwa sauti anayoimba Harmonize si yake, akiwa na maana kiuhalisia ameimba Diamond ila Harmonize kawekwa kama geresha tu. Isikilize vizuri ina make sense.
 
Kajipange tena urudi kuandika sababu umeanza ba kichwa cha habari
Ukaja mm sio mwanachama
Mara mm sio mfwasi wa MTU au msanii yoyote mwisho ukasahau mada na maudhui ya kichwa chako cha habari
Mara diamond na nyimbo za kolabo
Mara sauti ya diamond
Ujinga uliopitiliza kabisa
Nyie wafwasi wa msanii wa Sony

Jipangeni bado mnakazi kubwa mbeleni kumfikia diamond
Nahisi kama vile huq mnachanganikia sana mondi akitoa single
Kajipangeni tena kwa vichwa vitawauma na ikizingatia siku hizi panado zimepigwa marufuku madukani
Ndio ilikua suluhisho la kichwa kwa watu waliochanganikia
 
ila isije ikawa ni maagizo ya boss
Hili linawezekana, kwa sababu wakati wa utambulisho wa huu wimbo Dully alisema Diamond na wasafi team walisimamia production ya audio na video.
Kwa maana hiyo alitoa ushauri wa baadhi ya vionjo. Iweje aruhusu kuigwa namna hii? Iko namna.

BTW wimbo uko poa, video iko poa zaidi.
 
Nimelea sana wale wafwasi wa msanii wa sony record
Wanachuki mbili zilizokaa kichwani mwao
1 ni kulinganisha uezo wa mind na msanii wao
2 wote wanaombea dua WCB ife kitu ambacho kwa sasa hakiezekani kwa tathmin iliofanyika WCB ndio studio nzuri yenye ubora kabisa kwa sasa bongo hata jengo walipopangia Lima ubora wa kimataifa kabisa
Poleni sana Sony record
 
Sauti ni ya diamond lakini kwa video ameonekana mtu anaekaribia kufanana na diamond..
 

no no no sikatai kuna ku copy,hii nyimbo sio mayonaise anaimba ni diamond kabisaaaaaaaaa,so jaribu kusoma uelewe sina chuki na diamond
 
s
Mkuu mbona unachanganya mafile..Embu weka maelezo yako kwenye 3D ueleweka..Diamond anahusika vipi kwenye ngoma ya Inde?
sikiliza hiyo nyimbo mara 10,sikiliza nyimbo za DOGO WA MBAGALA ZA KUTOSHA,pima mzani wako.

nachokataa hii nyimbo kaimba wa mbagala kampasia mayonaiz akatoe kideo.
 

kuna wapumbavu huwa sijadili nao kitu ,hasa wapuuzi km ww,hapa kuna mada kubwa ya kuchangia ntaileta.we mpuuz maandaz endelea kushabikia timu ushikishwe ukuta.
na hali mbaya bongo we si mwenzetu
 
Huu wimbo nitausikiliza vizuri usiku kukiwa hakuna kelele nijiridhishe
 
Hyo ndio nyimbo mbaya ya Mwaka huu (huu ni mtazamo wangu sio lazma ukubali) deep thinking

Dully kama unaweza kafanye kitu kingne sio dully ww ninaekujua unaefanya upumbavu huu (kupoteza dira)

Tofauti kati ya Mond na Harmonize sasa inapotea naona wanaigana kila kitu sio mbaya (wameamua kujishusha wenyewe).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…