UZURI NA UBAYA WA MTI NI MWONEKANO WA MATAWI YAKE
Serikali kuu inafinyangwa na serikali ndogo ndogo pamoja na sekta mbalimbali zilizopo nchini.
Hivyo zikiweka taswira hasi kiutendaji basi zijuwe zimeweka taswira hasi na mwonekano mbaya kwa Serikali Kuu hivyo ni wajibu wa sekta zote na matawi yote ya Serikali kukukuonesha taswira iliyo bora ila Serikali Kuu iwe na taswira chanya.
Kwanini haya...
Baadhi ya sekta hasa sekta ya elimu haswa shule za misingi baadhi ya walimu Wana Keuka maadili maonyo na sheria walizo pewa wakiwa vyuoni walimu hawa wanalazimisha wanafunzi kununua vyakula ( karanga maandazi vitumbua n.k) wanaoshindwa kununua hupewa adhabu Jambo hili linapelekea wanafunzi kuachukia shule pengine kuacha kwenda shule kama hana hela.
Wazazi (jamii) moja kwa moja hukosoa kuelekea Serikali Kuu "serikali hii sijuh ipoje" hvyo sekta na matawi yote ya serikali kuu hima iweke taswira chanya kwa jamii pia walimu wanaojihusisha na mapenzi na wanafunzi wafukuzwe kazi na si kuhamishwa mazingira ya kazi.

Upvote
1