Sauti ya mamlaka ya raia namba moja Rais Samia ndiyo pekee inaweza kutupatia tiba

Sauti ya mamlaka ya raia namba moja Rais Samia ndiyo pekee inaweza kutupatia tiba

instagramer

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2024
Posts
215
Reaction score
492
Habari wanadodi,

Nadhani sote kwa pamoja tumeshuhudia siku za hivi karibuni ongezeko la machapisho au taarifa mbalimbali za kuhamasisha/kupinga mmomonyoko wa maadili.

Jana Mkoani Tabora kwa mujibu wa Channel ya Wasafi media, Mkuu wa mkoa amekamata shehena ya vitabu vinavyohamasisha ushoga na vilainishi vikiwa mbioni kusambazwa katika shule zetu za msingi kupitia taasisi ya Athumani Kapuya Foundation

Hili pamoja na taarifa zingine za namna hiyo ni janga la kimaadili na Kiuchumi. Tuungane kulipinga.

TIBA PEKEE NA KUBWA ILIYOBAKI NI MHESHIMIWA RAIS KUTOA KAULI KALI KAULI YA RAIS KAULI YA KIMAMLAKA KUKEMEA JAMBO HILI.

Tunamuomba Sana Mheshimiwa Rais afanye jambo hilo kupitia special press call. Nawahakikishia akizungumza tu hatutasikia tena habari hizi maana kila Kiongozi ataogopa kauli ya Rais na atawajibika ipasavyo kukabiliana na jambo hili.

Mungu Tusaidie.

Wasalaam!

Screenshot_20240604-105924.jpg
 
Back
Top Bottom