Nani aisikie sauti ya mnyonge? Sauti ya vijana maskini walio vyuo vya kati na vyuo vikuu.
Vijana hawa wenye msongo wa mawazo juu ya kipi kitatokea baada ya masomo yao katika fani mbalimbali.
Vijana hawa maskini, waliobeba matumaini ya familia zao bado hawana uhakika wa maisha baada ya elimu zao huko chuoni.
Nani asikie sauti yao awatete, nani ajali kuhusu wao???
Moyo wangu una Machungu sana