Sauti ya Moze Iyobo inabadilika kama kinyonga?

Decree Holder

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2015
Posts
2,559
Reaction score
3,745
Wadau nimeona kuna uzi unamuonesha Moze Iyobo akihojiwa hivi karibuni huku sauti yake ikiwaacha wengi na mshangao.
Nimeingia YouTube na kukutana na video ya Moze Iyobo akiwa anatoa sauti kubwa na nzito hali iliyonifanya nijiulize kulikoni mtu mmoja ana sauti kubwa na ndogo? Je anaigiza sauti? Ipi ni sauti yake halisi kubwa au ndogo?
Msikilize hapa akitoa sauti kubwa

Hii hapa ndiyo sauti ya Moze Iyobo iliyowaacha watu na mshangao

Baada ya kuzikia hizo sauti hizi mbili je ipi sauti halisi ya Moze Iyobo?
 
Ni kutokana na mood pale akiongelea kuwapiga shilawadu alikuwa na mood ya hasira na ukakamavu hivyo ikapandisha sauti yake that's why ukiangalia mieleka au Boxing wakati wa matambo sauti ni tofauti na real sound ya mhusika.


Mm nimefurahi kujua kuwa kumbe ni kweli aliwapiga shilawadu.
 
Lakini anasauti ya kawaida tu ajaribu kuikaza tuhttps://youtu.be/ki7BRpEspsk
 
Huyo wa kwanza ni mdananda tu anayetafuta kiki kwa mgongo wa Moze
 
Moze sauti yake haijakaa sawa sasa anavyoipimp ndio anaharibu kabisa inatoka kama "MPANDISHA MABEGA."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…