Sauti ya mpasuko kwenye bodaboda

Sauti ya mpasuko kwenye bodaboda

resonanceiduufu

Senior Member
Joined
Jul 29, 2016
Posts
112
Reaction score
62
Ni nini chanzo cha mlipuko au sauti kama mpasuko kutoka kwenye exhaust pipe ya pikipiki au sports car nyingi?? Ni kuziba kwa exhaust pipe au ni swaga za madereva kushtua watu??
 
kwenye mchina kuna stop injini sasa unapokuwa umeikimbiza unaizima juu kwa juu then unaiwasha ndio unatokea huo mlio....ila pikpik ikianza kuchoka na plug ikiwa chafu unaweza ukawa unaendesha hiyo milio ikawa inatokea vile vile....
 
Ni nini chanzo cha mlipuko au sauti kama mpasuko kutoka kwenye exhaust pipe ya pikipiki au sports car nyingi?? Ni kuziba kwa exhaust pipe au ni swaga za madereva kushtua watu??
Hiyo kwa pkpk za mcina wanaita turbo ambayo huwa ni hewa inayo kusanywa kwenye
 
Back
Top Bottom