Sauti ya mtu anayecheka inaandikwaje; Hahah, Haaaaa, aaahhah, Ha-ha?

Sauti ya mtu anayecheka inaandikwaje; Hahah, Haaaaa, aaahhah, Ha-ha?

Marashi

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2018
Posts
2,877
Reaction score
4,522
Pamoja kwamba kila mtu anadizaini yake ya kucheka naamini kuna uandishi flani ambao ni conventional wa kuandika kicheko. Wanafasihi tafadhali nijulisheni namna ya kuandika kicheko kwa usahihi, hua naona tu kila mtu anaandika kivyake.
 
Hahahahahhahahahahahahhahahshhahhhyhyhuhhuhuhuhuhuhuhuuhuhu ohhohohoohohohohohoohohohohohohoho
Hehehehehhehehehehehehehehehehehtehtehtehtehtwhtehtehtehtehtehteh
 
Wakati tupo sikuli tulikuwa tunaambiwa tucheke kizungu.sasa sijui wazungu huwa wanachekaje
 
Inatagemeana na huyo mtu anacheka kwa lugha gani

spanish ==> jajaja

Burund i==> kekekeke

English ==> hahaha
 
Utaandika kicheko kutokana na aina yako ya kicheko , wengine , kwi..kwii.. kwiiii, kwaruuu kwaruuuu, kwe kwee kweeeee, haha haha haha. Hehe hehe heheeee. Ta taa taaaa.
 
1539527149124.png
1539527199549.jpg
 
Back
Top Bottom