Pamoja kwamba kila mtu anadizaini yake ya kucheka naamini kuna uandishi flani ambao ni conventional wa kuandika kicheko. Wanafasihi tafadhali nijulisheni namna ya kuandika kicheko kwa usahihi, hua naona tu kila mtu anaandika kivyake.
Utaandika kicheko kutokana na aina yako ya kicheko , wengine , kwi..kwii.. kwiiii, kwaruuu kwaruuuu, kwe kwee kweeeee, haha haha haha. Hehe hehe heheeee. Ta taa taaaa.