Brian Spilner
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 1,915
- 5,750
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna jamaa alikuwa anaimba hivi nilicheka nusura ya kujambaWork work work work work
Huo mcheko wa line ya tatu mara nyingi huchekwa wazungu wanapokaribia kufika tanzania.Hahahahahhahahahahahahhahahshhahhhyhyhuhhuhuhuhuhuhuhuuhuhu ohhohohoohohohohohoohohohohohohoho
Hehehehehhehehehehehehehehehehehtehtehtehtehtwhtehtehtehtehtehteh
Mliambiwa hivyo sababu shule mlizokua mnasoma ni za wazunguWakati tupo sikuli tulikuwa tunaambiwa tucheke kizungu.sasa sijui wazungu huwa wanachekaje
Kiswahili?Inatagemeana na huyo mtu anacheka kwa lugha gani
spanish ==> jajaja
Burund i==> kekekeke
English ==> hahaha