Sauti ya umma tumaini iringa.

Ukiwa ccm ni sawa na kuwa na mikosi maisha yako yote
 

Naona inawakera sana, haya mambo CCM huwa wanaanzisha but they always lose. Hatutaki magamba makubwa wala magamba madogo.
 
hivi kuna kijana mlalahoi bado anaipenda ccm zaidi ya kina january makay, hussein mwinyi, vita kawawa, willy malecela, rizi one?
 
Jamani naomba mnieleweshe labda sijaelewa, Hivi hapa (JF) huwa tunashindania vyama viwili (chadema na ccm) au ni kitu gani tunafanya??
Ushabiki wa vyama ndio mwelekeo wa JF?? Nimeuliza hivi kulingana na nilivouona mwelekeo wa hii thread. Ninaomba mtu mwenye nia nzuri (ambae hatanidhihaki) anijibu. Kama unaona nilichouliza si cha maana kwako na hvo huwezi kunipatia jibu ni heri ukae kimya
 
Mkuu you need to learn to read within and between the lines. The massage is clear... being known to be a member of CCM or affiliant to the same is a disadvantage for anyone who vie for a leadership post in our universities. What potential that leader has or will do to his fellow students is whole new topic. You need not be Cynical to the one who brought up the thread regardless of your political affiliation.
 
Hapo kwenye red - vijana wamkomeshe huyu bwana na kwa kususia Yorgut za Asas. Pata Serengeti instead.

teh teh teh teh teh! Aisee umenifrahisha ile mbaya! Sio kususia tu!, bali tunavamia kiwanda na kukiteketeza! Teh teh
 
Walianza Huko UDOM wakapandikiza udini kwa itikadi za vyama (ccm na CHADEMA)
lakini umma ukaonesha nguvu yake kwakuvuruga mpango mzima sasa Ikulu pameota miba ****** kahamia Dodoma walitoa hela zimeliwa na mbegu zao hazijamea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…