ni bahati nzuri kutofagia nyumba ya zamani kabla ya kuondoka kuhamia nyumba mpya,kwani ukifanya ivyo yale mabalaa unayo pitia nyumba ya zamani unayaamishia nyumba mpya.
Pia usihame katika Nyumba nyingine na ufagio wa zamani,hii unaamishia nuksi na matatizo Kwenye nyumba mpya.