Upo kaka? Umepotea kweli.Tuvumilie miaka mingine mi-nne., ikiisha zitafanywa sarakasi itaongezwa mingine mitano.
Mungu atuepushe na sarakasi za kichina baada ya hapo.
Dunia hii yametawala majabari kama Farao, Cesar, Castro, hitler, musolini, Mao n.k.., wako wapi? Wote wameishia mavumbini., itakuwa sie ambao hata mishahara tunakopa?
Tuvumilieni.
"Yana Mwisho"-Kuli.
Mada za uchumi amewaachina kina mpango wapike Data.Drama za viwanda zimekwisha sasa ili ku cover up wanatuletea drama za unga!! Nchi imemshinda simsikii tena akiongelea habari za uchumi.....
Upo kaka? Umepotea kweli.
Punguza maneno ya khanga! Taifa linakuaje, uchumi ukiwa taabani?
Hahahaaa! Heri mimi sijasema.Drama za viwanda zimekwisha sasa ili ku cover up wanatuletea drama za unga!! Nchi imemshinda simsikii tena akiongelea habari za uchumi.....