Savings accounts je ipi ni bora?

Savings accounts je ipi ni bora?

Mtoto wa Kishua

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2009
Posts
834
Reaction score
152
Wandugu ningependa kujua kama nita deposit kiasi cha millioni 50 na nataka niwe napata kipato kutokana na interest kw amwezi je , ni savings account au fixed deposit ipi ni bora na je naweza chukua mkopo kutokana na ku weka kiasi hicho na je intrest zake zikoje? ,wasanteni
 
Fixed Deposit is okay, siko updated na rates, lakini najua kenya commercial bank unaweza kukopa against your fixed deposit. lakini kwa nini ukope against cash mkuu?
 
watu wengine na maswali yao, zaidi ya mr Hamim aka mr.zimbabwe
 
Fixed Deposit is okay, siko updated na rates, lakini najua kenya commercial bank unaweza kukopa against your fixed deposit. lakini kwa nini ukope against cash mkuu?

Asante kwa jibu zuri, nachotaka ni hiyo pesa ni save na pia nipate income tokama na intrest , je calculation zinakuaje naweza pata monthly , kwasababu nataka hiyo pesa nisiiguse kabisa na pia nafikiri kuinvest kwenye treasury bills or bonds , asante
 
Mkuu, inawezekana vipi ukawa unafahamu kuhusu investing in fixed deposit, treasury bills, bonds and savings lakini haujui kucalculate interest? kuhusu kuchukua interests zako monthly nenda kajaribu bahati yako lakini mara nyingi interests utalazimika kuzichukua at the maturity of fixed deposit.

kuhusu kuinvest kwenye tresury bills, kajaribu kuwasialiana na banker wako kama wanaweza kuwa maagent wako sababu kwa sasa ni financial institutions tu ndio zinaruhusiwa kuinvest kwenye treasury bills.

Kuhusu Bonds, bankers wanaweza wakakupa ushauri mzuri zaidi pia.
 
From my own experience, kama unataka fixed account nenda Tanzania Postal Bank, they have better & more competitive rates, than most banks/
 
Back
Top Bottom