Sawa Ali Kamwe katuambia tarehe 2/12/2023 tuvae Kanzu na Misuli ila tuuzingatie na huu Ushauri wa Alex Luambano

Sawa Ali Kamwe katuambia tarehe 2/12/2023 tuvae Kanzu na Misuli ila tuuzingatie na huu Ushauri wa Alex Luambano

Cognizant

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2022
Posts
626
Reaction score
1,409
"Niwaombe tu wana yanga sc kuwa pamoja na kuambiwa na msemaji wao Ali Kamwe kuwa jumamosi watakapocheza na al ahly wavalie kanzu na misuli ila mimi naongezea kwakuwa wanacheza na waarabu (Al Ahly sc) ambao hawana masihara basi wahakikishe wanavalia na bukta kwa ndani kwani mwarabu si mtu mzuri" amesema mtangazaji wa clouds fm alex luambano katika kipindi cha michezo cha sports extra kilichoko hewani sasa

Naungana nae mtangazaji alex luambano kwa huu ushauri wake na hili angalizo lake kwani waarabu wakiwa nawe na kukuta uko mtupu au kikawaida kikawaida sana basi tegemea dhahama kubwa kukukuta mpaka sauti yako itaanza nayo kubadilika huku macho yako yakiwa ni ya kutambua tu
 
"niwaombe tu wana yanga sc kuwa pamoja na kuambiwa na msemaji wao ali kamwe kuwa jumamosi watakapocheza na al ahly wavalie kanzu na misuli ila mimi naongezea kwakuwa wanacheza na waarabu ( al ahly sc ) ambao hawana masihara basi wahakikishe wanavalia na bukta kwa ndani kwani mwarabu si mtu mzuri" amesema mtangazaji wa clouds fm alex luambano katika kipindi cha michezo cha sports extra kilichoko hewani sasa

naungana nae mtangazaji alex luambano kwa huu ushauri wake na hili angalizo lake kwani waarabu wakiwa nawe na kukuta uko mtupu au kikawaida kikawaida sana basi tegemea dhahama kubwa kukukuta mpaka sauti yako itaanza nayo kubadilika huku macho yako yakiwa ni ya kutambua tu
Ndio walikufanya hivyo hao waarabu?
 
Nimeona video ya Haji Manara akitoa demo ya kufunga msuli,na akasisitiza kuwa ukivaa msuli ni marufuku kuvaa boxer yaani ukitoa msuli shingo ya kuku na mayai mawili yaonekane. Na akamalizia kuwa watafanya ukaguzi getini unaonyesha ticket yako na unakudua msuli wako waone kama uko kama ulivyozaliwa. Shauri yenu wananchi akili za kuambiwa changanya na za kwako
 
Namkumbuka mno antonio Nugazi huyu jamaa alikuwa anatumia akili sana sio kama mpuuzi alikamwe
Dogo bado Ana utoto mwingi yeye na privaldino.
Kule mtandao wa x utakuta wanakejeli kolo badala ya kuhamasisha mashabiki waje kwa wingi game 2 na Kutengeneza hoja kwanini timu ilipoteza Algeria na kivipi marekebisho yamefanyika.
Mawazo ya goli 5 na kufika fainali cafcc yawekwe pembeni , hii ni battle nyingine
 
Hawa madogo wamefeli basi tu wanapita na upepo wa mafanikio ya Yanga.

Ila wajuzi wa mambo na tusio na ushabiki kwenye kuelezana ukweli tunajua kwa uhakika wamefeli tena vibaya.
 
Nugazi alistahili kabisa kwenye yanga hii yule jamaa ana hekima na utuuzima pia kwasababu kwasasa ilitakiwa iletwe hamasa ili watu wajae uwanjani ili mwarabu asitoke taifa,sisi tumecheza fainal shirikisho halafu mwaka huu tushike mkia kweli kwenye makundi? Kwangu naona kwa ubora wetu ndani ya nbc sisi kumfunga simba 5 sio ishu yakufurahia mwezi mzima wakati huo tupo kwenye kundi gumu lenye waarabu wawili
 
Hawa madogo wamefeli basi tu wanapita na upepo wa mafanikio ya Yanga.

Ila wajuzi wa mambo na tusio na ushabiki kwenye kuelezana ukweli tunajua kwa uhakika wamefeli tena vibaya.
Waache wajisahau tu hizo kazi waanze kupewa makampuni ya PR ndio watajuwa hawajui.

Kenya walishaipaga kampuni ya KPR kusimamia ligi yao kuepukana na watu wajinga wajinga.
 
Nimeona video ya Haji Manara akitoa demo ya kufunga msuli,na akasisitiza kuwa ukivaa msuli ni marufuku kuvaa boxer yaani ukitoa msuli shingo ya kuku na mayai mawili yaonekane. Na akamalizia kuwa watafanya ukaguzi getini unaonyesha ticket yako na unakudua msuli wako waone kama uko kama ulivyozaliwa. Shauri yenu wananchi akili za kuambiwa changanya na za kwako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom