Mambo ya kanzu na misuli tena.. utamaduni gani huoo?? Kuna chembechembe za mambo ya kidini kwa mbali kwenye hizi mambo za soka. Ila hakuna mtu anatakaga kuongelea hilo.. wanajisahau sana