Wasalaam
Vipi wandugu hizi jezi za ndg zetu Taifa stars, ukilinganisha na mataifa mengine mnazionaje? Binafsi sifurahishwi na misoksi ya blue yaani fulana blue, kaptura blue soksi blue....imepoa sana!
Wadau mnapendekezaje maana muonekano nao una nafasi yakee!