Sawa mambo yako hayaendi lakini usidhalilishe utu wako

Sawa mambo yako hayaendi lakini usidhalilishe utu wako

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Sio kwamba hauna thamani ni basi tu uko unappreciated

Fanya mabadiliko. Jiweke miongoni mwa wanaoona thamani yako then angalia jinsi utakavyoboreka haraka.

Wakati ua halichanui, rekebisha mazingira ili liweze kukua, Sio kurekebisha au kubadirisha ua.

Tusisubirie vya kuja kuthamini ubora wetu, utauchukia utu kwa maana vitakawia, ila basi tuvitengeneze vingine kwa kutumia ubora wa uwezo wetu ili tufurahie thamani yetu

Vilivyokutangulia mbele visi question utu wako ukashusha thamani yako ili uvifikie, utaanguka njiani na kurudia hatua za nyuma zaidi kuanza upya kutengeneza thamani ya utu wako.
 
👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿
 
Back
Top Bottom