Sawa mmeshindwa kujizuia kwenda kwenye mamipira, basi hata kusimama kuimba Wimbo wa Taifa?

Ushauri mzuri utafikiaje vijana kwa kasi ili hili lifanikiwe?
Tuusambaze kwa jinsi inavyowezekana. Huu uwe utaratibu mpya usio na kikomo.

Wanategemea sana haya mamipira ili wananchi wapotezee yale yaliyotokea. Kama imeshindikana kususia kabisa, hapa ni kuwafuata huko huko wanapopategemea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…