Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Hawa mademu wa telegram au mabwana zenu mtaani wasiwa tengenezee uhalali wa kufanya sex kavu kavu kisa tu mtapima vvu siku hio moja.
Sawa kaswende inatabika, ila utagharamika, unaweza muathiri na partner wako mwingine, na ni mara ngapi utakuwa unaumwa magonjwa haya na kujitubu?
Sawa hana ngoma, vp kama ana UTI iliokomaa, vp homa ya ini?
So tuache ushamba labda tu kama umeamua kujilipua.