Hujaona tangazo majuzi tu hapa kwamba Landrover festival ilimaliza hiyo bidhaa nchini!!!?Hawa mademu wa telegram au mabwana zenu mtaani wasiwa tengenezee uhalali wa kufanya sex kavu kavu kisa tu mtapima vvu siku hio moja.
Sawa kaswende inatabika, ila utagharamika, unaweza muathiri na partner wako mwingine, na ni mara ngapi utakuwa unaumwa magonjwa haya na kujitubu?
Sawa hana ngoma, vp kama ana UTI iliokomaa, vp homa ya ini?
So tuache ushamba labda tu kama umeamua kujilipua.
Hahhahahahahahah
Acha utani
Hiyo nayo ni dhambi.
Homa ya ini hata denda tu unapata kama hauna janjo na kinga zako za mwili zipo chini.Kwani Condom inazuia homa ya ini?
Haya mambo yapo mkuu ila watu wanadhani utaniiKuna mmoja tulipima VVU basi tukapata jeuri ya kutembezana show nyama kwa nyama, nilipigwa na UTI ya kiwaki waki, iliyonigharimu sana hela, muda na maumivu makali.
Nilikoma sana, kwa sasa hata sitaki kabisa hizo mambo.
Weka na picha ya mlenda vuguvugu