Mimimollel
Member
- Mar 9, 2024
- 8
- 6
Nakubaliana na uundaji wa tume ya wazalendo kuuweka vizuri muungano, ila hizi force za kisiasa zenye nia ya kuimarisha na kutangaza kila baya la muungano hapo ndo natishwa zaidiKuurepea si ndio tukaunda tume ya kutatua kero za muungano, miaka mingi imekatika wameshindwa kuziondoa Mimimollel π
external forces through their puppets within Tz, ati hao waibue dosari au kasoro kwenye jambo Fulani na kujaribu kuchochea au kulazimisha jambo hilo liwe kama ilivyo nia na madhumuni ya mabwenyenye humu nchini, haiwezekani within this very United Republic of Tanzania πWana JF nina huzuni, tena sana, kwanini kwenye nchi yenye watu wazima tunataka kuamini na kugundua zaidi mapungufu, kasoro na hitilafu za MUUNGANO WETU matukufu badala ya kutafuta namna ya kuutia cement?
Kwanini tusifikiri mwaka mmoja bila MUUNGANO unaweza kutupa hasara gani? Naogopa kufikiri nini kipo nje ya MUUNGANO huu hadi kabisa duniani, MUUNGANO wa kiungwana, MUUNGANO wa utu, MUUNGANO ambao ikitokea UNA SABABU NITAFURAHI, KAMA HAUNA SABABU MIMI HUO NDO UHODARI HUU, TANZANIA NI KWETU.
Naheshimu mawazo yako muungwana, serikali tatu ni wimbo wa wengi, ila ebu tufikiriSuluhisho limeshatolewa na wananchi kupitia rasmu ya katiba ya walioba lakini vichaaa ccm wakakataa.sasa Kwa ninimkatae matakwa ya wananchi kama siyo ujuha ni Nini?.serikali tatu zitaondoa haya mauza uza.serikali tatu hakutakuwa na mmoja kuona anaonewa na mwenzake .
MIMI naona hoja yako kwa political and power demand, habari ya nani ni Rais, katoka upande upi wa muungano, kwann tusiwe rais wetu, hizo ni hoja za kisiasa, madarasa, ambavyo mtanzania hana haja navyoWana JF nina huzuni, tena sana, kwanini kwenye nchi yenye watu wazima tunataka kuamini na kugundua zaidi mapungufu, kasoro na hitilafu za MUUNGANO WETU matukufu badala ya kutafuta namna ya kuutia cement?
Kwanini tusifikiri mwaka mmoja bila MUUNGANO unaweza kutupa hasara gani? Naogopa kufikiri nini kipo nje ya MUUNGANO huu hadi kabisa duniani, MUUNGANO wa kiungwana, MUUNGANO wa utu, MUUNGANO ambao ikitokea UNA SABABU NITAFURAHI, KAMA HAUNA SABABU MIMI HUO NDO UHODARI HUU, TANZANIA NI KWETU.