Sawa tumebebwa je wangeliwa ninyi mgeweza?

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Naona mashabiki wa simba wana lalamika sijui leo wamebebwa sijui wamebebwa maneno mengi kana kwamba refa alichukuwa mpira na kwenda kuweka ndani alafu ikawa goli

Na pili mpira ambao wanasema tumebebwa umepigwa kwa bahati mbaya na nzuri kwetu mpira ule haukuwa Assist au goli bali tulitumia nguvu zetu kutafuta goli

Tatu mngelikuwa ninyi mngeliweza? kwanini msikubali tu yanga wapo sawa

Na ukiona Azam ameonewa na wewe mpeni vocha refaa alafu tukutane

Tabu iko pale pale

Ukiona adui yako anakusifia rudi nyuma angalia umekosea wapi
Ila ukiona adui yako analalamika jua kabisa umewapiga kweli kweli
 
🦁Watulie hao🏃
 
Kama mlibebwa wasiseme wapige kimya siyo, nyie si ndiyo mabingwa wa kulalamika kuonewa kila kukicha.
Kama yule kichaa wenu Ben alichofanya TFF wakisema jambo nanyi mtakimbilia kusema Wallace Karia ana shida na nyie.
Azam wamewapelekea moto balaa nyie mnasubiri goli za mchongo.
 
Aliyepelekewa moto ni aliyeruhusu comeback🏃, kwahiyo Azam ndiye kapelekewa moto🤔
 
Kauli za kikuma
 
Unaandika utetezi weeee Lkn Kwa Mbaaali Akili inakataaa Na inakwambia.
' Mmmh pale Tumebebwa'.... Kiuhalisia tusingetoka salama kama Refa angesimamia haki.
 
Saaaafiiii......
 
Shuti la mzee mpili ni kali kuliko la Djuma Shban
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…