Sawa tumekubali Harmonize atapotea. Je,WCB ina uwezo wa kumtengeneza Harmonize mwingine?

Jimmy De Lite

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2019
Posts
635
Reaction score
2,321
He Pals,,,,

I hope mko gud Ryt,,,,

okay, Freshhhh

Moja ya mijadala mingi iliyoko mitandaoni ni kuhusu Harmonize kujiondoa Kwenye lebo yake ya WCB,Ukifuatilia comment za mijadala hiyo wengi mashabiki wa Diamond platnumz (WCB) wanadai huo ndo mwisho wa Harmonize,in short atapotea kwenye game,Hilo hatuwez kubishana nalo coz ndo mfumo wa mziki wetu kuwa mikonon mwa baadhi ya watu.

Ila swali Langu ni je,WCB wana uwezo na nguvu tena ya kumtengeneza Harmonize mwingine?

Nakumbuka miaka kadhaa nyuma kuna lebo ilikuwa inajigamba kumtengeneza JAYZ na kumfikisha pale alipo,Siku moja Jayz akiwa anahojiwa na kituo kimoja aliulizwa kuhusu Hao watu wanao jigamba kumtengeneza yeye,Jayz aliwajibu "Kama ni rahisi kumtengeneza Jayz Basi wamtengeneze Jayz mwingine"

Swali Langu bado ni lile lile,Je WCB wanao uwezo tena wa kumtengeneza msanii wa levo ya Harmonize? Mana kwa wasanii walioko pale WCB hakuna wakufika Hata nusu ya Levo ya Harmonize ukimwondoa Diamond.

#Jimmy-The-Inimitable
 
WCB ni wanafiki sijapata kuona, siku zote nilijua MOND anaonewa na CMG nikawa niko upande wake siku zote, na hata bifu lake na KIBA nilijua KIBA anakiburi lakini leo nimeprove wrong, wanajitangaza eti WASAFI TV yetu sote, sanaa imezaliwa upya, mbona nyimzo za HARMONIZE hampigi tangu amejitoa WCB? Yaani nawachukia WCB hadi baasi. mimi ilikuwa kila siku lazima niingie you tube kuangali nyimbo za WCB lakini kwa figisu anazofanyiwa KONDE BOY hadi inaniuuma utadhani mm ndo nafanyiwa hayo, mungu yuko pamoja na KONDEBOY god is good! pambana mdogo wangu tuko juma yako!
 
Na kwanini wamtengeneze harmonize mwingine?

Watamtengeneza msanii mwingine mwenye jina tofauti na harmo na mtindo wa usanii tofauti na harmo..na huyo msanii atakua anatambulika kitofauti na harmo.
 
Harmonize ameachieve kitu gani kikubwa zaidi ya Wasanii wengine wa WCB?

Rayvanny vitu alivyo achieve.
1.Tuzo ya BET
2.Kupiga show kwenye tamasha la Essence US,ambao lilijumuisha mastaa wengi


3.Nyimbo yake ya Tetema imekuwa streamed mara mil 1 Sportfy ndani ya miezi miwili.Hapo hujagusa Itunes,Tidal,Shazam nk.


Hivyo vitu vitatu hata Mondi mwenyewe hajawahi achieve kwenye maisha yake ya mziki.
 
Acha uongo nyimbo za Harmonize zinapigwa kila siku Wasafi TV na Radio.
 
Kwahiyo rayvan ni hatari kuliko mond?
 
Acha uwongo wasafi wanapiga sana nyimbo zake....nikuulize swali watumia kisumbusi gan???
 
We jamaa ni pumba sanaa ni sawa na kujitamba una followers wengi kumzidi Mohammed dewij... Muhimu mtonyo kuingiza kwa mwaka unafanana...

Kwahiyo utasema vanny boy ni zaidi ya diamond na harmonize
 
We jamaa ni pumba sanaa ni sawa na kujitamba una followers wengi kumzidi Mohammed dewij... Muhimu mtonyo kuingiza kwa mwaka unafanana...

Kwahiyo utasema vanny boy ni zaidi ya diamond na harmonize
Wewe kwa kutokuelewa kwako unaona pumba,nimejibu kutokana na uzi unavyotaka.Followers sio hela ila stream ni hela,nimeonyesha vitu alivyo achieve Rayvany kama msanii wa WCB ambao wengine hawakuachieve,simple tu ila ww umeamua mwenyewe kwa makusudi kutokuelewa.

Harmonize anamzidi nini Rayvany?Kama unazo criteria weka hapa.
 
hawawezi hata kidogo
 
GOD sio god jifunze kuandika
 
RAYVAN ni level za kina belle9
 
Kubali au kataa ila tambua Rayvany kwa Harmonize ni kama mbingu na aridhi.
Weka vigezo hata kwa idadi ya show wanazopiga kwa mwaka,zina karibiana.
Tukitumia criteria za 2018 Harmo alifanya vizuri lkn overall Rayvanny ameachieve vingi WCB kwa mda fupi kuliko Harmo na Hapo ukiangalia Rayvanny nyimbo alizoachia ni chache kuliko Harmonize mwenye nyimbo nyingi na collabo kibao.
 
Aiseee
 
Rayvany ana ngoma nyingi sema siyo hit ndo mana huzijui,Unazijua za Harmo kwa vle ni hit,Rayvan ili atoe hit ni mpaka amshirikishe mond.
 
Rayvany ana ngoma nyingi sema siyo hit ndo mana huzijui,Unazijua za Harmo kwa vle ni hit,Rayvan ili atoe hit ni mpaka amshirikishe mond.
Rayvanny hana ngoma nyingi ukilinganisha na Harmonize.Diamond alitumia nguvu nyingi kumpromote Harmo sababu watu wengi walidai ana fanana naye sauti,ndio maana Harmo alitoa ngoma nyingi ili muizoee sauti yake baadaye muone utofauti na sauti Diamond.Rayvany ana ngoma chache na hata collabo anazo chache,ukilinganisha na Harmo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…