Sawa tumekubali yaishe

Simba haiwezi yanga wakiwa kwenye the same financial capability na bila figisu zozote. Hata wao wanajua ukweli kua 4 back to back ni bashite huyo.
Nahisi kama mpira ulianza kuingiliwa kinyume pale mashabiki lia lia walipoanza kukaa madarakani.

Kama itakuwa rahisi, tuwekewe listi ya mabingwa kuanzia 1995 mpaka 2005, pengine tunaweza jadili kitu!
 
Hii wanai punch kwa kusema yanga kabeba mara tatu mfululizo na azam mara moja ila wao wamebeba mara nne.
Hapana hiyo hapo Ni misimu mitano, ambapo Azam kahusika Mara moja, na Yanga kahusika Mara nne, Miaka mitano bila Kolowizard kuligusa. Sasa jiulize yeye kakaa miaka mitano, Mimi nimekosa miaka minne. Sasa hapo Kolowizard inabidi mjitafakari Sana. Hamna pa kujifichia.
 
Kolo kichaka chake cha kujificha ndo kama ivo atakwambia ww umebeba mara tatu na azam mara 1, anaiacha ile kabla ya azam. Ukimuuliza 1+3 kama ni 5, anatukana.

Na hapo ni baads ya bashite kuingilia. La sivyo yangekua yanagusa mara moja na kuchomeshwa mahindi 5 seasons.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…