Kwetunikwetu
JF-Expert Member
- Dec 23, 2007
- 1,535
- 412
Wana JF nasikitika kutangaza kifo cha ndugu yetu, mwanaharakati wa utunzaji misitu Ndg. Corodius Thomas Sawe kilichotokea usiku wa kuamkia jana pale Morogoro.
Kwa wasiomfahamu alikuwa ni Afisa Misitu, alifanya kazi Tanga Catchment Office, then alikuwa Conservator wa Amani Nature Reserve, na mpaka anafariki alikuwa ni Co-ordinator wa Nature Reserves Tanzania na pia component leader wa kuifanya Eastern Arc Mountains kuwa World Heritage Site. Pia alikuwa akikaimu ukuu katika project ya CMEAMF (Conservation and Management of Eastern Arc Mountains Forests).
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.....Amin!
Note: Kama nilivyoahidi, nilihudhuria kwenye mazishi ambayo yalifanyika Machame tarehe 23/12/2009