Sayansi na ushirikina

Sayansi na ushirikina

Askarimtu

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2019
Posts
277
Reaction score
185
Kwa maana hiyo wanasayansi wote wanafanya shughuli za ushirikina aidha kwa kujua au kwa kutokujua.

Natafuta ufafanuzi zaidi au hakiki (evidences) juu ya hii taarifa. Kwanini sayansi na ushirikina kwa karne hii ni vitu vyenye uhusiano???

IMG_20221128_182812.jpg
 
View attachment 2430018
Zaman mkuu astrology ilikuwa sayansi kuu. Lakin siku hizi ni uchawi tu. Enlightment period ndo ilibadilisha kila kitu
 
Zaman mkuu astrology ilikuwa sayansi kuu. Lakin siku hizi ni uchawi tu. Enlightment period ndo ilibadilisha kila kitu
Biblia imekataza kujifunza elimu hiyo ila inatuasa kuona ishara zitokanazo na mabadiliko ya anga. Ukianzia hapa utaona kuna kitu.
Lakini inaweza pia ikaleta definition kuwa teknolojia ya juu zaidi ya sayansi ndio ushirikina wenyewe.
 
FB_IMG_16646612600667713.jpg

Untill wamalizie zile nusu stori zao walizotuandikia na kutuaminisha
 
Back
Top Bottom