Sayansi ya anga ndio sayansi ngumu zaidi duniani ?

Sayansi ya anga ndio sayansi ngumu zaidi duniani ?

Mto Songwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2023
Posts
6,683
Reaction score
14,060
Wataalam, Hivi hapa duniani kuna somo linafikia kwa ugumu au kupita kabisa sayansi ya anga ?

Maana hii fani mimi binafsi naona ngumu hatari na gharama sana.
 
Mkuu wanasayansi wenyewe wameukubali Mziki wa baharini,sayansi ya baharini ni ngumu na hatari hakuna mfano
Mpaka sasa bahari imechunguzwa kwa asilimia ngapi ukilingalisha na anga ?
 
Mpaka sasa bahari imechunguzwa kwa asilimia ngapi ukilingalisha na anga ?

Kwa mujibu wao,bahari wameichunguza kwa 10% tu kati ya 100%,ila anga ni kwa 60% kwenda juu tayari uchunguzi umefanyika
 
Kwa mujibu wao,bahari wameichunguza kwa 10% tu kati ya 100%,ila anga ni kwa 60% kwenda juu tayari uchunguzi umefanyika
Hii tafiti umepatia wapi mtaalamu ? Inafikirisha na kuzalisha maswali
 
Back
Top Bottom