Sayansi ya kuishi vizuri na watu

Sayansi ya kuishi vizuri na watu

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Hata kama una pesa nyingi au mafanikio makubwa jaribu kutumia hii mbinu mojawapo ili uweze kuishi vizuri na watu, kujishusha na kujiweka sehemu ya jamii yao. Jaribu kuwakopa pesa ndogo ndogo wale wote uliowazidi kipato au mafanikio ili wao wajue huna tofauti nao n.k
 
Ukiishi kwa kuwaridhisha watu au kufanya kitu kulingana na watu wakisemacho bs utapata tabu sanaaaa. Ishi upendavyo Ila tu usimnyanyase mtu wala kumuonea mtu.
Inawezekana jamii yote ikuzungumzie wewe kwa mazuri tu?
 
images(12).jpeg
 
[emoji13][emoji23] kuomba ela kwa wanaume km nyinyi ni sahihi bhn [emoji85]
Nyie watu mtatuua kwa majukumu sasa, vipi siku nikikwama na wewe utaweza kunipiga tafu? Or it's one sided love and effort
 
Nyie watu mtatuua kwa majukumu sasa, vipi siku nikikwama na wewe utaweza kunipiga tafu? Or it's one sided love and effort
Nakupiga tafu vizuri tu. Tatizo nyie wanaume bhn mambo yenu mnayajua nyie wenyewe tu
 
Back
Top Bottom