Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Ungana nami hapa tujadili suala la vikwapa kwa kutumia sayansi.
Je, wajua kwamba watu wa Asia ya mashariki huwa hawanuki vikwapa?
Eneo la Asia ya mashariki linajumuisha nchi za China, Japan, Korea za kusini na kaskazini, Mongolia, na Taiwan.
Inakadiriwa kuwa asilimia kati ya 80 -95 ya watu wa hizo nchi wana aina ya vinasaba [variant] vinavyotambulika kama ABCC11.
Aina hiyo ya ABCC11 ndo huhusika na kutokuzalisha harufu mbaya ya kikwapa.
Namna moja ya kugundua kama aina ya ABCC11 uliyonayo inazalisha bakteria wa kikwapa au la, angalia aina ya nta ya masikio yako.
Ukiwa na nta iliyo kavu, basi jua wewe una hiyo aina ya ABCC11 ambayo haizalishi kikwapa.
Nta yako ikiwa nyevunyevu, utakuwa ni mtema kikwapa hatari 🤣.
Katika makundi ya watu wa huko Asia mashariki, Wakorea ndo wanaongoza kuwa na hivyo vinasaba visivyozalisha vikwapa.
Kwa msingi huo, Wakorea wengi huwa hawanuki vikwapa.
Kwa wale ambao waliwahi kufika Korea miaka ya nyuma watakuwa wanajua kwamba kupata deodorant madukani, ilikuwa ni shida.
Siku hizi mambo yamebadilika kidogo na deodorants zipo madukani.
Lakini deodorants ziuzwazo kwenye hayo maduka yao si zile zenye nguvu sana, kama vile 72hr na 96hr zipatikanazo kwenye nchi za magharibi.
Licha ya nasaba, harufu ya kikwapa huchagizwa pia na mambo mengine, japo kwa uchache au udogo.
Mambo hayo ni chakula, usafi wa mwili, jinsia, na umri.
Katika uzoefu wangu mimi, nadhani wa Asia ya Kusini ndo wanaongoza kwa vikwapa vikali.
Asia ya Kusini inajumuisha nchi za India, Pakistan, Bangladesh, Sri Lanka, Nepal, Maldives, na pia hata Afghanistan.
Vikwapa vya hao watu ni moto wa kuotea mbali.
Kama umewahi kufanya kazi na Wahindi ambao ndo wametokea kwao huko India, utanielewa.
Vikwapa vyao huwa vinatema balaa. Halafu pia yawezekana hawana utamaduni wa kupaka deodorant.
Ole wako ukutane na Mhindi gym halafu awe anatema kikwapa.
Hamu yoyote ya mazoezi uliyokuwa nayo utaitupa kule.
View: https://youtu.be/qBIc8iKExDU?si=fYGdjph7x6rpj8Zm