Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,336
- 4,731
Mwaka ni mzunguko wa sayari kulizunguka jua, kwa dunia huwa inatumia siku 365.25 kumaliza mzunguko wake. Mwaka ndio huleta majira, kama kipupwe, kiangazi, vuli na masika
Siku ni sayari kujizungusha katika muhimili wake, ambako kunaleta usiku na mchana
Sayari ya Zuhura ‘Venus’ inatumia muda mwingi kujizungusha kwenye mhimili ‘axis’ wake ukilinganisha na muda inayotumia kuzunguka jua
Kifupi ni kwamba mwaka wa Zuhura ni sawa na siku 225 au masaa 5400 za duniani, wakati siku yake ni sawa na masaa 5832 au siku 243 za dunia