Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 620
- 1,240
๐ฆ๐ฎ๐๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐๐ฎ๐ถ๐ฑ๐ถ ๐๐ฎ ๐ฒ ๐ธ๐๐ผ๐ป๐ฒ๐ธ๐ฎ๐ป๐ฎ ๐น๐ฒ๐ผ ๐๐๐ถ๐ธ๐
Kwenye page ya @picabuzz , katika siku chache zilizopita walifanikiwa kunasa picha nzuri yenye kupendeza wakati wa siku baada ya kuona sayari zote ziliweza kuonekana kwa macho mida ya usiku.
Kuanzia januari 25 utaweza kuziona sayari zaidi ya sita zikijipanga mstari mmoja mnyoofu kikamilifu mida ya usiku. Ikiwa unahitaji kushaanga jambo hili basi leo usiku ukifanikiwa kuangalia Angani utaweza kuziona sayari.
Unaweza tumia kamera๐ธ ya simu yako kuona kwa ukaribu zaidi hapa utakua umetisha itaweza kujitokeza kuanzia tarehe 25 Januari hii mpaka kufikia kati kati ya mwezi Februari mwaka huu 2025.
Najua kuna sayari unatamani kuiona live kupitia macho yako mida usiku angani? Kwangu mimi huwa nafurahi sana kuiona sayari ya Saturn ๐ช ikiwa na pete yake aisee sijui wewe unapenda ipi tuachie maoni yako ?