๐—ฆ๐—ฎ๐˜†๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐Ÿฒ ๐—ธ๐˜‚๐—ผ๐—ป๐—ฒ๐—ธ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—น๐—ฒ๐—ผ ๐˜‚๐˜€๐—ถ๐—ธ๐˜‚

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
๐—ฆ๐—ฎ๐˜†๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐Ÿฒ ๐—ธ๐˜‚๐—ผ๐—ป๐—ฒ๐—ธ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—น๐—ฒ๐—ผ ๐˜‚๐˜€๐—ถ๐—ธ๐˜‚



Kwenye page ya @picabuzz , katika siku chache zilizopita walifanikiwa kunasa picha nzuri yenye kupendeza wakati wa siku baada ya kuona sayari zote ziliweza kuonekana kwa macho mida ya usiku.



Kuanzia januari 25 utaweza kuziona sayari zaidi ya sita zikijipanga mstari mmoja mnyoofu kikamilifu mida ya usiku. Ikiwa unahitaji kushaanga jambo hili basi leo usiku ukifanikiwa kuangalia Angani utaweza kuziona sayari.



Unaweza tumia kamera๐Ÿ“ธ ya simu yako kuona kwa ukaribu zaidi hapa utakua umetisha itaweza kujitokeza kuanzia tarehe 25 Januari hii mpaka kufikia kati kati ya mwezi Februari mwaka huu 2025.



Najua kuna sayari unatamani kuiona live kupitia macho yako mida usiku angani? Kwangu mimi huwa nafurahi sana kuiona sayari ya Saturn ๐Ÿช ikiwa na pete yake aisee sijui wewe unapenda ipi tuachie maoni yako ?

 
Kiongozi toa direction basi, zitakuwa north, east or ?. Vipi kuhusu muda, usiku wa saa ngapi?
 
Nataka niione dunia
 
Reactions: ABJ
Nimeona 5.... Kuna mbili zilikuwa zinawakawaka rangi tofautitofauti . Moja imezungukwabna nuota nadhani ni miezi yake ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ