Jamani naomba mnisaidie kwa mtu anyejua mishahara ya hii kampuni inayozalisha pepsi, haswa legal office, hr manager na senior security officer. Ahsanteni wana jf
oohhhhh
they pay according to their scale my dear!
but wewe bado ujaitwa kwenye interview unaanza kuuliza mshaara!
si ndio juzi wametangaza yale makazi mengimengi!
ila ukithubutu kukutwa na bwana pepsi mtaani usisite kumuuliza scale yake