Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
Leo katika harakati za kupiga vitu vya mbugani achana na akina john mtembezi, nikabidi nifuatilie kuhusu maandishi ya maokoto.
Naona ni stail mpya ya kubet hii. Maelekezo nilopewa na kutafakari kama kweli mnywaji anaweza fanya hiko walichokisema kwa muda huo. Labda abebe vizibo akatume asubuhi akiwa na fresh mind.
Msituchukilie poa na kampeni uchwara. Heri mtangaze CSR maalum tujue mmefanya kitu kwa jamii.