Lini Yanga waliwafunga Sc Villa kwao halafu wakajisifu!!!! Hivi kweli wewe ni mfuatiliaji wa mpira!!!!!Salaale! Hawa sindiyo Yanga huwa wanajisifu kwamba waliwafunga kwao?Naona hatari ya yeboyebo kulala 5.misri.
Huyu atakua wa Dar mkuu kutwa nzima vijiweni mkuu, hawafuatilii habari za mpira msamehe bure:Lini Yanga waliwafunga Sc Villa kwao halafu wakajisifu!!!! Hivi kweli wewe ni mfuatiliaji wa mpira!!!!!