ni ugonjwa unaosababishwa na mdudu (parasite) aitwaye SARCOPTES SCABIAE.
Ni ugonjwa wa kimaskini unao sababishwa na uchafu. unaathiri ngozi kwani wadudu hao huingia kwenye ngozi na hula maji maji ya kwenye seli. husababisha vipele na muwasho mkali sana. Hushambulia zaidi sehemu zilizo jificha kama kwapani,shingoni, sehemu za siri,.........
huambukizwa kwa kugusana, ku share mavazi, na vitu vyovyote vinavyo weza kubeba wadudu hao kama vitasa vya milango mabomba ya kwenye daladala kama kama mgonjwa atashika na kuacha wadudu.
ugonjwa huu unaweza kutibiwa na 8–10% sulphur, 10–25% benzyl benzoate, 1% lindane, 10% crotamiton, 5% permethrin, or 0.5% malathion. uchaguaji wa dawa utategemea upatikanaji wa dawa sehemu alipo mgonjwa, gharama yake na na dr. anaye tibu
usafi uzingatiwe sana.