Car4Sale Scania 113 inauzwa

Car4Sale Scania 113 inauzwa

Chiwaso

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
5,726
Reaction score
3,778
Habari wana bodi,

Mninga unauzwa, uko kwenye hali nzuri.
Vibali vyote (LATRA, BIMA,MAPATO) viko hai,
Ina bima kubwa(Comprehesive)
Ni gea 8

Inauzwa kwa bei ya kutupwa
4omil(Price is negotiable)

Call 759 888 018 for more details

20210526_171808.jpg


20210526_171849.jpg


20210526_171939.jpg


20210527_132610.jpg


20210527_132628.jpg
 
Ningekuwa na pesa hakika huu mninga nisingeuacha,tatizo pesa baba
 
Nataka kwenda masomoni abroad, na kibaya sina mtu wa kumuachia kusimamia.
 
Kwa nini unauza? Sorry lakini. Hizo pic umepigia garage?
Hii biashara gereji ni muhimu la sivyo uwe na yadi yako na mafundi wako ambapo ni mtaji mkubwa.
Ila kama ndio umepata pesa za kustaafu sikushauri uingie kwenye biashara hii utakufa mapema.
Kwa kijana hiyo unaweza anza nayo kutokana na ufinyu wa mtaji ila ni biashara moja ngumu sana. Na ikikubali inakutoa mapema sana
 
Maana kwa scania used kichwa ya europe 50 hadi 60 unachukua.
Hiyo bei ni kwa wale first time in business akifikiri akitoa hiyo hela basi mtaji utarudi ndani ya mwaka mmoja ama miwili kumbe la ni msoto wa kufa mtu.
 
Maana kwa scania used kichwa ya europe 50 hadi 60 unachukua.
Hiyo bei ni kwa wale first time in business akifikiri akitoa hiyo hela basi mtaji utarudi ndani ya mwaka mmoja ama miwili kumbe la ni msoto wa kufa mtu.
Hiyo bei labda iwe pamoja na trailee yake. 😂😂😂😂😂
 
Mswahili anavyopenda gari,

Mpaka ukisikia anaiuza gari yake, basi uwe makini we mnunuaji!!!!"
 
Back
Top Bottom