Silicon Valley
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 1,092
- 1,119
La muhimu hilo mkuu......weka picha,weka na bei mkuu!pia eleza kama unaweza kuuza kila kimoja kivyake,ikimaanisha kichwa peke yake,na trela peke yake.
Jamaa kapotea sijui kwa nini waTZ wanapenda kufanya biashara kienyeji namna hii.