babuukikolo
Senior Member
- Jan 1, 2014
- 146
- 167
Kutoa wapi na kupeleka wapi?Wakuu salama?. Naomba kuuliza mwenye uzoefu wa scania kwa mtu kumiliki
Najua 124 haina mambo mengi ila nataman kujua kama r450 au model nyingine itanifaa kwa kazi za kusafirisha mizigo
Umesema sahihi kabisa asisahau na Service ni muhim sana kwa Scania.Kama unaanza tumia 124
Haina purukushani nyingi kama hizi za kisasa kikubwa umpate suka muelewa.