Scania buses na Cummins buses ( Zhoungtong climber, yutong ect)

Trinity dar(Tz)-Kigali(Rwanda)-Kampala(Uganda)-mpaka Nairobi(Kenya). Yutong f12 plus
 
Hahaaa umeuwa, 113 k /360 nakumbuka Kiswele alikuwa nazo injini nyuma,Dar to Songea masaa 10 tu. Inapanda mlima kwa kasi, unajiuliza hivi inapandisha au inashuka.
Scania ndugu zake ni Man diesel,Benz Actros ninashangaa kumfananisha na vitu vya ajabu ajabu kila kukicha...kuna jamaa jirani yetu wana 113 toka utawala wa Mwalimu Nyerere mpaka kesho wanayo na inaenda DRC...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…