The useful idiot
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 1,066
- 2,739
Kwanini?Tushapigwa tena!
Wasiyapeleke mbagala watavunja viooWakati tunapiga kelele, serikali inaishi maisha kama tajiri, piga kelele yenyewe inafanya maendeleo tu.
Kongole sana wahusika wa hili.
Naona wangeleta golden dragon ya bei rahisi mengi kuliko haya yapo ghaliHata wawe na mabasi 100000 kama utaratibu wao ni huu uliopo hauna manufaa kwa umma.
+1Hata wawe na mabasi 100000 kama utaratibu wao ni huu uliopo hauna manufaa kwa umma.
Zipo ngapiππ¨π§π’ππ πππ‘πππ₯ππ‘π
Hatimaye zimewasili Dar es salaam
Scania Marcopolo Viale zinatumia gesi
Cc [VALERIAN BANDA]
Kwa ajili ya mradi wa mwendokasi
πΌππ ππΌπππΌπππΌ π½ππππ || ππͺπ’πππ©ππ π¨ππππ§π π«
#TanzaniaBuses #SafariBora #BusService #alltanzaniabuses #atbupdates #ATBsnapView attachment 3278051
SijafahamuZipo ngapi
Wewe una akili kuliko bodi iliyokaa na kufikiria hayo au sioNaona wangeleta golden dragon ya bei rahisi mengi kuliko haya yapo ghali
NaamWewe una akili kuliko bodi iliyokaa na kufikiria hayo au sio
Huyo kashakariri kila basi lazima liwe la bei rahisi ila yakiaribika na kupungua barabarani ndio wa kwanza kulalamika humuWewe una akili kuliko bodi iliyokaa na kufikiria hayo au sio
Wewe umekariri nini?Huyo kashakariri kila basi lazima liwe la bei rahisi ila yakiaribika na kupungua barabarani ndio wa kwanza kulalamika humu
Tulia wewe hujui kitu subiri vyuma viingie road ndio ujue tofauti ya rahisi na ghali sio unatushauri tununue takataka zako za kichina kisa ni house girl wa mchina hapo kariakooWewe umekariri nini?
We boya kweli mama yako auze mbususu yake kwa wachina uje kunililia mimi hapa?Tulia wewe hujui kitu subiri vyuma viingie road ndio ujue tofauti ya rahisi na ghali sio unatushauri tununue takataka zako za kichina kisa ni house girl wa mchina hapo kariakoo
Mods mpo wapi ? mpaka huyu mnywa gongo anajiarishia humuWe boya kweli mama yako auze mbususu yake kwa wachina uje kunililia mimi hapa?
Muulize huyo kwanini anawapea wachina?Mods mpo wapi ? mpaka huyu mnywa gongo anajiarishia humu
Hebu nenda kavute bangi na wenzio uko huna hadhi ya kujadiliana vitu vya msingi na mimiMuulize huyo kwanini anawapea wachina?