Car4Sale SCANIA R420 inauzwa namba D

Car4Sale SCANIA R420 inauzwa namba D

Chiwaso

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
5,726
Reaction score
3,778
Za mchana wakuu,
Chuma hiyo iko sokoni. Vibali vyote vimelipiwa, inafanya kazi kama kawaida.. Mmiliki wake anataka aende masomoni. Iko Singida.
Inatakiwa 48mil.
Call 0759888018 kwa taarifa zaidi.

20220417_130931.jpg
 
Angalau toa hizo Tofali mana inaonekana hakuna kitu hapo, ioshe kisha azima hata simu yenye camera nzuri piga picha angle tofauti kisha post.
 
Wakati wewe unawaza ununue Scania ili uache kazi.
Ndugu yetu anawaza auze Scania ili akasome---aje aajiriwe.
Maisha haya!!
 
Mkuu ongeza ongeza picha m.f za ndani ya cabin, engine, No plate, n.k
 
Wakati wewe unawaza ununue Scania ili uache kazi.
Ndugu yetu anawaza auze Scania ili akasome---aje aajiriwe.
Maisha haya!!
Kwani amesema Anataka asome ili aajiriwe??,Jamaa alichokisema ni kwamba Mwamba Anataka kusoma ili Baada ya hapo aweze kusimamia biashara zake kitaalamu.
 
Back
Top Bottom