Scheduled maintanance ya mitambo ipoje ?

Scheduled maintanance ya mitambo ipoje ?

scatter

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
1,667
Reaction score
926
Wiki iliyopita kupitia kiongozi mmoja wa kiserikali ailiupatia ujumbeUmma kwamba kuna ukarabati wa mitambo mbali mbali katika shirika la TANESCO ukarabati huu upoje?
 
Wanakata miti,kubadilisha nguzo na kusoma meter mtaani.
 
tuko hapa maeneo ya skansa aka IPTL tunafanya final touch tuyakurupue, msihofu next week tutakuwa full swing nchi itakuwa mwangani...
 
Huu mgawo wa umeme ni mkakati wa watu kutafuta pesa kwa ajili ya kukidhi malengo yao ya kisiasa hasa kuelekea kwenye uchaguzi wa 2025 kwani wanakiri wazi kwamba kurudia ule uhuni alioufanya Magufuli kwenye uchaguzi uliopita ni kitu ambacho hakiwezekani tena hivyo wanaona waanze kujipanga mapema.

Mambo ya "Scheduled Maintenance" ni lugha za mbuni kuficha kichwa mchangani.
 
Wanakata miti,kubadilisha nguzo na kusoma meter mtaani.
Wanasafisha mita ziliingiwa na vumbi kwa 5yrs.
Wanatreat maji.
Kihanzi vyura waliingia kwenye mitambo ikazimika.
Mtera wamefungulia maji kwa kilimo cha vitunguu.
 
Ifike hatua wanasiasa waongo wachapwe Bakora tu
 
Back
Top Bottom