Wanasafisha mita ziliingiwa na vumbi kwa 5yrs.Wanakata miti,kubadilisha nguzo na kusoma meter mtaani.
Hao ngombe huku nyuma walikuwa hawana kiu? Kiu imewadia baada yakuingia makamba.Wanaenda kufukuza ngo'mbe wanaobugia lita 40 za maji kwenye vyanzo huko mtoni