Scheiderlin wa Everton yupo Tanzania kwaajili ya honey moon.

Kama ni mzungu kaenda bongo na raha aitakayo ni kutalii...unadhani itahitajika pesa ndogo?

Jumuisha gharama za usafiri, ada za viingilio, malazi, chakula n.k

Jamaa kapigia nauli ya basi kutoka Arusha kwenda Ngorongoro na kiingilio bila hata kulala hotelini, unaenda siku hiyo unarudi siku hiyo hiyo.
 
Kama ni mzungu kaenda bongo na raha aitakayo ni kutalii...unadhani itahitajika pesa ndogo?

Jumuisha gharama za usafiri, ada za viingilio, malazi, chakula n.k
Watu 8 thought you was dead bruh, long time. Welcome back
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…