Jahface kotto
Kv upo ughaibuni nilitarajia kusikia kutoka kwako mambo mema zaidi kuhusu hili jambo na ndio maana nilikimbilia kuifungua hii thread! Kinyume chake ni kama naanza kukata tamaa!
Kuna mtu wangu wa karibu ambae ana tatizo ambalo binafsi naamini ni hilo (unajua tena Waafrika tunaamini mambo mengi).
Niwie radhi, sina maana kwamba wewe huteseki na hilo tatizo lakini naweza kudiriki kusema wazi kwamba, ikiwa unaweza kuandika yote haya basi inawezekana heri yako kuliko huyo mtu! Jamaa anateseka to the point ukimuona mtu unaweza kukufuru na kusema bora uumwe ngoma ujue moja kuliko tatizo la huyu Mheshimiwa! Jamaa ndugu zake wote wa karibi; I repeat, WA KARIBU ndio anaona maadui zake! Assume una mke ndo unaona huyo ndo chanzo cha maradhi yako... assume una kaka au dada; au hata mwanao lakini unaona hao ndio chanzo cha matatizo yako to the point hutaki kabisa wawe karibu na wewe au waje nyumbani kwako-- utasaidiwa vp hapo! Ukikaa nae hata dakika moja, atakutuhumu unamcheka au atadai ameona kuna mtu hapo na kuhoji anataka nini... atasema hayo wakati mpo wawili tu... mkatalie basI! Most of time ana-hallucinate!
Hivi sasa nimekuwa nikijaribu ku-research ikiwa hili tatizo unaweza kupata ufumbuzi in developed countries lakini cjapata tangible inputs! Kwahiyo ndugu yangu, ikiwa utapata at least inputs kwamba hili tatizo linaweza kuwa handled pande za huko, please let me know manake the guy anateseka sana. Na si kwamba nakutisha au I don't care what you're facing lakini ikiwa tatizo lenyewe ndo hilo bado naamini halijakutengua sana vinginevyo hata huko ughaibuni ingekuwa umesharudi zamani! Kwahiyo wakati bado una access na huko, jitahidi huko huko upate ufumbuzi wakati bado una ufahamu wa kwenda hospitali manake itafika wakati utaona hao Wazungu ndo chanzo! I hate to say this but the truth ni kwamba, hapo hakuna cha 666, Muhammad wala Yesu... you're just hallucinating!
Ukipata any helpful info, please let me know! Hapa JF utapata tu contributions kama zangu ambazo unaweza hata ku-Google but real help utapata huko huko!! Ukirudi Tanzania utaishia kupelekwa kwa Masheikh, Wachungaji, Waganga wa Kienyeji n.k but trust me, you'll get no real help from none of them na wala USITHUBUTU kukufuru kwamba huwezi kwenda kwa hao wote; DON'T... I know this problem very much hata kama ninayeumwa sio mimi!