Schizophrenia ni nini?

watu waliowengi ambao bado hawajafunguliwa macho na kusikia sauti ya MUNGU . HAO WAZUNGU NA WAHARABU ,AU NISEME WHITE RACE YOTE NI MASHETANI KWA KUUPOTOSHA ULIMWENGU . Mentaly zetu adi za watoto wao wamezitia evil spirity kuchukia ngozi nyeusi . Wazungu hawapendi weusi hii ni hali halisi kwao na baadhi ya weusi hawaupendi weusi pia lkn hii sio hali halisi kwetu tumepandikizwa hii chuki .

Pia ukitaka kuamini mi ni nani na si taip yako bro nenda katafute docomentry ya beutyfull mind ya JOHN NASH yeye pia alikuwa na schizophrenTHE HEAVEN . yani alikuwa na mawasiliano kutoka mbinguni .

YESU ANATAKA KUJA KUBADIRISHA UONGOZI MBAYA WA KILIMWENGU KUHUSU KISPIRITUALY ADI PHYZICAL . HAPA SIO UDINI WOTE WAMOJA NA HATA AKIJA BADO UTAKUWA MWANA WA MUNGU TU SABABU WEWE SIO RESPONSIBLE YA YOTE YANAYOITWA MABAYA ULIOYAFANYA !


kingine . Wazungu wengi wanajijua na wanatambua ukweli sasa basi wengi wao hawaamini hata huyo mungu wanakwambia wanaamini in NATURE au UNIVERSE .


KAGOOGLE !!!!!!!!![/QUOTE]
 
jahface ...mimi pia nimeiona hiyo movie ya "beautiful mind"..its a nice one and true story! naomba utafute kitabu ..BLACKS IN SCIENCE..ancient and modern ..editor IVAN VAN SERTIMA..nina hakika utapata mafunuo..its amazing book! MWENYE ENZI MUNGU AKUONGOZE
 
Mi mpya humu lkn naona baadhi yenu wa bongo mmepinda kwa ubishi lkm mjue nimetembea sana karibu nchi 20 kiustorowei au stow a way kama inavyojuliakana tangu nilipokuwa mdogo wa mika 18. Sasa basi kama umepinda NANYI PIA MTAKUJA KUNJOOSHWA NA MUNGU ! Lkn ukweli kuhusu mimi nafikiri nimepinda ile mbaya kuliko nyny baadhi yenu mnaojifanya mmepinda .

Najaribu kuongea kila njia lkn wngne mnasema naleta udini udini gani hamna udini hapa ni ESHIMA TU NA ESHIMA YENYEWE NI UJINGA TU MDA MWINGINE.

ISLAM NDO ILIKUWA DINI YA KWELI YA MUNGU LKN BAADA YA WAO WENYEWE WAZUNGU NA WAHARABU KUDHURUMIANA KUHUSU KUMNYONYA MTU MWEUSI SASA WAPO MATATANI NA NDO MAANA MUNGU ANATAKA KUJA KUUOKOA ULIMWENGU KWA KUMTUMIA YESU WA KWELI AMBAE NI MTU MWEUSI ,PUMBAVU NYINYI !

NA MATERORIST WAO PIA WANA IYO SPIRITY YA MUNGU WA 666 AMBAO WAO PIA WANAPIGANA KUTAKA KUWATEKETEZA WAZUNGU NDUGU ZAO KWA SABABU YA MISS FUCKN UNDERSTOOD ZILIZOTEKEA KT YAO LKN PIA KWAMANUFAA YAO NA NCHI ZAO SIO ULIMWENGU AU WATU WEUSI . LKN YESU HUYU MWEUSI ANATAKA KUJA KWA AJILI YA WOTE !

SIJALI KM ATA YESU AKIWA MWEUPE SABABU SI TUNAUPENDO WA KWELI HATUWACHUKII WAZUNGU . LKN NAONGEA UKWELI YESU NI MWEUSI KUTOKANA NA MAONO NA SAUTI NILIOKUWA NAYO NA EXPIRIENCE YA MDA MREFU NILIOSHI KTK BARA LA ULAYA NA AMERICA. NA AMINI KWAMBA UKIFA UNAKWENDA PEPONI UKIUWA STILL UNAKWENDA PEPONI SABABU THATS ONLY WAY GOD HE HAVE CHOOSED TO TAKE OUT HIS PEOPLES FROM IN THE (DEVILS HAND) WORLD. Pia kuna historia nyingi za materorist wakubwa kuwa walikuwa na SCHIZOPHRENIA .
Sasa basi pia kutokana na hili inazidi kunifanya kutambua kuwa mzungu anatumia kila njia za propaganda kujaribu kuuwambia ulimwengu kuwa SCHIZOPHRENIA ni ugonjwa sawa kwenu nyinyi wapumbavu lkn kwetu tunaona ni njia moja ya REVELATION . Tunajuwa wapi tunakwenda after die na tunajuwa tutarudi kuongoza ulimwengu pamoja na watakatifu LAKI MOJA NA ELF AROBAINI WALIONDIKWA KTK BIBLIA .

TUMERUHUSIWA KUFANYA CHOCHOTE NA BABA HAPA DUNIA KUONGEA TULIOKUWA NAYO AU KUTOKUYAONGEA ,KUUA AU KUTOKUUA , NK. LKN STILL TUNAKWENDA MAHALI PEMA PEPONI ! nyookeni !
 
Sawa ndugu nntakitafuta nashukuru !
Nna kitabu kimoja pia kinanienspire kt ya vitabu vyangu kinaitwa THE SECRETY RELATION SHIP BETWEWN BLACKS AND JEWS CHA MINISTRY LOIS FARAKHAN kizuri sana km huna kitafute !

BLESS YOU !
 
Sawa ndugu nntakitafuta nashukuru !
Nna kitabu kimoja pia kinanienspire kt ya vitabu vyangu kinaitwa THE SECRETY RELATION SHIP BETWEWN BLACKS AND JEWS CHA MINISTRY LOIS FARAKHAN kizuri sana km huna kitafute !

BLESS YOU !
AMEN...ASANTE SANA
 
Ni wazi kuwa wewe una Mental illness
 
Madaktari naomba kujua schizophrenia inaletwa na nini? Kuna rafiki yangu inasemekana ana tatizo hilo. Matibabu yake ni yapi? Hawezi baadaye akaleta maafa katika familia ( kama yule aliyechoma nyumba Mwanza, au kuumiza watu etc)

Schizophrenia; a long-term mental disorder of a type involving a breakdown in the relation between though emotion, and behavior, leading to faulty perception, inappropriate actions and feelings, withdrawal from reality and personal relationships into fantasy and delusion, and a sense of mental fragmentation.

(in general use) a mentality or approach characterized by inconsistent or contradictory elements.
 
!
!
kwa mara ya kwanza nilisikia hili neno toka kwa Prof Lumumba PLO katika hotuba yake ya Trgedy of Africa
 
Ni moja kati ya magonjwa ya Afya ya Akili na kuna dawa huwa wanapewa ila ni za kutumia kwa muda mrefu. Ngoja Madaktari wa Psychiatric issues waje watatoa maelezo ya kina.
 
Ni wazi kuwa wewe una Mental illness
Sikushangai wewe kuwa mbishi hao mitume wenyewe hapo zamani walikataliwa nntakuwa mm . We subiri waje wenyewe wenye utukufu zaidi km ukibahatika kuwaona .hata ukifa utakuja kupata habari tu ! Umeambiwa kagoogle usome umeshindwa . We ndo unaleta udini unajaribu kutetea kitu unachokiabudu lkn ukifahamu kiundani . Maneno yote yale ya kiarabu yanayosema ALLAH UAK BAR yote ktk caluculation ya kuyatoa na kuingiza kwenye namba yanakuwa 666. Sikujibu tena sababu najuwa nyinyi ndo wabishi na imani yenu ni ya chuki 2 kw watu wa imani nyingine . STRAIGHT UP !!!!
 


Hizo umeandika ukiwa na hali gani?
 
Mm pia ni muathirika wa hii Hali lakini nimepona.mwanzoni mwa mwaka 2000 nilipata hallucinations kuwa watu wote wananisema nipo kama demu.hakika nilitaka kujiua.lakini nimepona baada ya DX.Ila bado natumia dawa za hospital. Pia napambana Na maishani Hali isinirudie tena.
Kwahyo ndg nenda hospital ukapate tiba.maana nna uzoefu jinsi hizo sauti unazozisikia zinavyotesa
Wewe huna schizophrenia wala nn unamaksudi yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…